Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Kishia nchini Iraq, Sayyid Ali al-Sistani, imetoa tamko rasmi ikitangaza kuwa kesho, Alhamisi, itakuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1447 Hijria.
18 Februari 2026 - 21:06
News ID: 1782866
Ali al-Sistani ametangaza kuwa kesho Alhamisi ni siku ya Kwanza ya Ramadhani 1447H.
Your Comment